God is a mystery that is experienced best when enlightened. |
Mungu ni kiumbe wa siri ambaya anaeleweka vyema unapokuwa na ufahamu mwema kumhusu. |
We can only say that it is good to live in God. |
Twaweza tu kusema kwamba ni vyema kuishi ndani yake Mungu. |
It is better to be enlightened than not enlightened. |
Ni bora kuwa na ufahamu kuliko kutokuwa na ufahamu kabisa
|
Enlightenment is the deeper purpose of life. |
Ufahamu ni kusudi la kina katika maisha. |
Through enlightenment, we reach the kingdom of God. |
Ni kupitia ufahamu huo, ambapo tunafikia ufalme wa Mungu. |
Enlightenment means inner peace, inner happiness and all-encompassing love for all beings. |
Kutaalamika inamaanisha amani ya kweli,furaha wa undani na upendo unaozunguka watu wote.
|
An enlightened person lives in God. |
Mtu aliyetaalamika huishi ndani ya Mungu |
He or she sees God as a kind of light in the world. |
Yeye humwona Mungu kama aina ya nuru ulimwenguni. |
He or she feels God in him or herself and around him or herself. |
Yeye humuhisi Mungu ndani yake mwenyewe na mazingirani mwake |
He or she feels God as inner happiness, inner peace and inner strength and is aware that he or she is in a higher truth that can only be described as universal love. |
Yeye huhisi uwepo wa Mungu kama furaha ya moyoni, amani rohoi mwake, nguvu wa undani na anafahamu kwamba anaishi katika ukweli mtupu ambao unaweza kuelezewa tu kama upendo wa ulimwengu mzima. |
In each of the major religions, there are varied definitions of God. |
Katika dini zote zilizo na wafuasi wengi, kuna ufafanuzi tofauti kumhusu Mungu.
|
In the religions we also find the personal and abstract term of God. |
Katika dini hizo tunapata pia kumfahamu Mungu kwa undani na kwa dhahania.. |
Many enlightened mystics think of God as a person and some others as a higher dimension in the cosmos. |
Nadharia nyingi zenye ufunuo kumhusuMungu zinamfananisha Mungu kama binaadamu huku wengine wakimchukulia kama Kiongozi wa ulimwengu wenye amani.
|
In Buddhism and in Hinduism the abstract term of God dominates. |
Katika dini ya Ubuddha na ya Uhindu, dhahania kumhusu Mungu inatawala mafundisho yao. |
In Buddhism, the highest principle is called Nirvana and in Hinduism it’s called Brahman. |
Katika dini ya Ubuddha, Mungu mkuu huitwa Nirvana na katika dini ya Uhindu wanamuita Brahman |
Jesus referred to God as father. |
Yesu alimuita Mungu baba |
Moses referred to God more in an abstract fashion. |
Musa alimtaja Mungu zaidi katika njia ya dhahania. |
His central definition of God was described with the words “I am.” |
Ufafanuzi wake mkuu kumhusu Mungu ulielezwa kama "Mimi ndimi."
|
These words refer to God as a happy state of being where one experiences enlightenment. |
Maneno haya yanamtaja Mungu kama hali ya furaha ya kumuweka mtu katika hali ya kutaalamika. |
In the words “I am” we find the main way to enlightenment. |
Katima maneno "Mimi ndimi", tunaipata njia kuu ya kutaalamika |
People need to develop a cosmic consciousness, a consciousness of the unity of all things. |
Watu wanahitaji kujenga ufahamu wa dunia iliyo ya amani, ufahamu wa umoja wa vitu vyote. |
Thus the ego consciousness is lost. |
Hivyo ufahamu wa kujidhamini zaidi ya wote, unapotea. |
Then one experiences pure consciousness, is one with everything and can only say: “I am.” |
Alafu mtu anayejifahamu vyema, ana umoja na kila kitu na anaweza kusema tu: "Mimi ndimi." |
He or she cannot say “I am so and so.” |
Yeye hawezi kusema "Mimi ni fulani au fulani." |
He or she identifies with everything and everyone and is personally nothing and is simply consciousness. |
Yeye hujihusisha na kila kitu na kila mtu, na hana ubinafsi kamwe bali ni ufahamu pekee. |
God as a being who can take action helps us along the spiritual way. |
Mungu kama kiumbe atendaye mambo, hutusaidia katika njia ya kiroho.
|
All enlightened beings are an incarnation of God. |
Viumbe vyote vilivyo taalamika kuhusu kristo ni vyaonyesha vile Mungu alivyo. |
If you connect with God or an enlightened being daily, you will be lead in the light. |
Unapojiunganisha na Mungu au kiumbe aliyetaalamika kila siku, utaongozwa kwenye nuru.
|