What is “governance”? |
Utawala |
The term governance often gives rise to confusion because it is (erroneously) assumed that it must refer solely to acts or duties of the government. |
Jina au neno utawala mara nyingi huzua mkanganyiko kwa sababu inachukuliwa kimakosa au kwa dhana ya kwamba lazima lichukue vitendo au majukumu ya serikali |
Of course, governments do play an important role in many kinds of governance. |
kwa ukweli serikali hukua na jukumu kubwa na la muhimu zaidi katika utawala |
However, in fact, the concept is far broader, and extends beyond merely the State. |
hata hivyo, ijapokua hio dhana ni pana na inapitiliza serikali tu . |
For example, we have seen increasing reference recently to the notion of “corporate governance”, a process that involves oversight both by the State and by a host of non-State bodies, including corporations themselves. |
kwa mfano,tumeona kuongezeka kwa dhana ya "utawala wa ushirika" hatua ambayo inajumlisha uangalizi wa wote angalau kwa serikali na kwa wenyeji mashirika yasiyo ya serikali , kwa kujumuisha mashirika yenyewe . |
Don McLean points out that the word governance derives from the Latin word “gubernare”, which refers to the action of steering a ship. |
Don McLean anaonyesha kwamba neno utawala limetokana na jina la ki latini "gubarnare" ambalo lina maana ya usukani wa meli |
This etymology suggests a broader definition for governance. |
etimologia inapendekeza kwa mtazamo upana maana ya utawala . |
One important implication of this broader view is that governance includes multiple tools and mechanisms. |
maana muhimu ya huu mtazamo mpana ni kwamba utawala unajumlisha vitengo vya zana na taratibu nyingi. |
Traditional law and policy are certainly among those mechanisms. |
kwa jadi na asili hii sera hua miongoni mwa zana hizo . |
However, as we shall see throughout this primer, governance can take place through many other channels. |
hata hivyo ,kama tutakavyoona kwa prima hii ,,utawala unaeza kuwekwa kwa njia nyingine nyingi pia . |
Technology, social norms, decision-making procedures, and institutional design: all of these are as equally important in governance as law or policy. |
teknolojia ,kanuni za kijamii ,taratibu za kufanya maamuzi na taasisi kubuni;hizi zote sawia huwa muhimu kwa utawala kama sheria ama sera |