God is a mystery that is experienced best when enlightened. |
Mungu ni siri ambayo ni uzoefu bora wakati umeangaziwa. |
We can only say that it is good to live in God. |
Tunaweza sema kwamba ni bora kuishi maisha ya kumfuata Mungu |
It is better to be enlightened than not enlightened. |
Heri kuishi maisha ya kuangaziwa kuliko maisha ya kutoanagaziwa |
Enlightenment is the deeper purpose of life. |
Mwangaza ni kusudi la ndani kabisa la maisha. |
Through enlightenment, we reach the kingdom of God. |
kupitia Mwangaza tunapata kuridhi ufalme wa Mungu. |
Enlightenment means inner peace, inner happiness and all-encompassing love for all beings. |
Kuangaziwa ni kama kupata amani ya kiroho, furaha ya kindani na upendo unaojumuisha watu wote |
An enlightened person lives in God. |
Aliyeangaziwa anaishi kwa Upendo wa Mungu.
|
He or she sees God as a kind of light in the world. |
kufananisha Mungu na nuru ya ulimwengu. |
He or she feels God in him or herself and around him or herself. |
anahisi uwepo wa Mungu karibu naye |
He or she feels God as inner happiness, inner peace and inner strength and is aware that he or she is in a higher truth that can only be described as universal love. |
Kufananisha Mungu na furaha ya undani na nguvu na kuamini kwamba yuko katika ukweli wwa juu zaidi ambao unaweza kuelezewa kama upendo wa ulimwengu wote |
In each of the major religions, there are varied definitions of God. |
katika kila dini kuu kuna ufananuzi anuwai wa Mungu. |
In the religions we also find the personal and abstract term of God. |
katika dini hizo tunapata kuona ubinafsi na ufikirika wa Mungu. |
Many enlightened mystics think of God as a person and some others as a higher dimension in the cosmos. |
Wahenga na wavumbuzi wengi hufikiria Mungu kama mtu wa kawaida na wengine humwona kama mwelekeo wa juu katika ulimwengu. |
In Buddhism and in Hinduism the abstract term of God dominates. |
katika dini ya Ubudha na Uhindu neno la kufikirika la Mungu linatawala |
In Buddhism, the highest principle is called Nirvana and in Hinduism it’s called Brahman. |
katika dini ya Ubudha kanuni ya juu kabisa inaitwa Nirvana ilhali katika Uhindu inaitwa Brahman |
Jesus referred to God as father. |
Yesu ni mwanawe Mungu |
Moses referred to God more in an abstract fashion. |
Musa alimtaja na kuzungumzia Mungu kwa njia isiyo ya kawaida |
His central definition of God was described with the words “I am.” |
ufananuzi wake mkuu wa Mungu ulielezewa kwa maneno " Ni mimi " |
These words refer to God as a happy state of being where one experiences enlightenment. |
maneno haya yanamtaja Mungu kama hali ya furaha na mahali ambapo mtu hupata mwangaza. |
In the words “I am” we find the main way to enlightenment. |
katika maneno yaliyoambwa na Mungu " Mimi ni" tunapata njia kuu ya kupata mwanagaza. |
People need to develop a cosmic consciousness, a consciousness of the unity of all things. |
watu wanahitaji kukuza ufahamu wa ulimwengu, ufahamu wa umoja wa vitu vyote. |
Thus the ego consciousness is lost. |
pia ufahamu wa kiburi unapotea. |
Then one experiences pure consciousness, is one with everything and can only say: “I am.” |
anayepata ufahamu safi kabisa anaweza kusema ana kila kitu na pia anaweza sema "mimi ni" |
He or she cannot say “I am so and so.” |
hawezi kusema jina lake la kawaida sasa. |
He or she identifies with everything and everyone and is personally nothing and is simply consciousness. |
yeye hujitambulisha na kila kitu na kila mtu na yeye binafsi si kitu na ni ufahamu tu |
God as a being who can take action helps us along the spiritual way. |
Mungu kama kiumbe anayweza kuchukua hatua hutusaidia katika njia ya kiroho. |
All enlightened beings are an incarnation of God. |
viumbe wote wenye mwangaza ni ufananisho na mwili wa Mungu. |
If you connect with God or an enlightened being daily, you will be lead in the light. |
ikiwa utaungana na Mungu au kiumbe aliyeangazwa basi pia wewe utakua kwenye mwangaza. |