We know why we tour as tourists. |
Sisi kama watalii tunajua ni kwa sababu gani tunafunga safari za kitalii |
You know why you may choose some parts of the globe over others by reasons such as family, cheap prices and activities- but do you specifically know why we tour? |
Unajua ni kwa nini unaweza kupendelea sehemu fulani za dunia kuliko zingine kutokana na sababu kama vile familia, bei nafuu na harakati zilizoko-lakini je, wajua ni sababu gani hasa inatufanya kufunga safari za kitalii? |
Tourism varies a number of ways: time, number of tourists, and different reasons being just some. |
Safari za kitalii zinatofautiana kwa njia kadhaa: nyakati, idadi ya watalii na sababu zingine tofauti zikiwa baadhi tu ya sababu hizo. |
For example, you may spend 2 weeks in Borth which has thousands of tourists, or you may tour in the Amazon for a month where there are little tourists and for the purpose of ecotourism. |
Kwa mfano, unaweza kaa wiki mbili katika Borth, mahali ambako kuna maelfu ya watalii, au kwa muda wa mwezi mmoja unaweza kutalii Amazon ambako kuna watalii wachache wanaolenga kutalii mandhari ya kimazingira |
Because of recent falls in the economy and general decrease of salary, many people are looking for cheaper places to tour. |
Kutokana na muanguko wa kiuchumi uliotokea hivi karibuni na upungufu jumla wa kimapato, watu wengi wanatafuta mahali pa bei nafuu pa kutalii |
This means more money for the cheaper resorts, that tend to be Mass Tourism destinations and a big company. |
Hii inamaanisha fedha nyingi zinaendea sehemu za kitalii za bei nafuu ambazo zimekuwa zikipendelewa na wengi wa watalii na makampuni makubwa. |
Tourism can have positive and negative effects: money, jobs and a good recognition are common positives that tourism brings. |
Utalii unaweza kuwa na adhari chanya na vilevile adhari hasi: pesa,ajira na pia umaarufu ni mambo mazuri ambayo kwa kawaida huletwa na utalii |
However, Global warming, pollution and destruction of habitat are all negatives people are concerned about. |
Hata hivyo, kupanda kwa hali ya joto duniani, uchafuzi wa mazingira na uharibifu wa mazingira ni mambo hasi ambayo inawakera watu. |
Solutions are being carried out to make tourism more eco-friendly. |
Suluhisho zinaletwa kuufanya utalii kuambatana vizuri na mazingira |
Eco-tourism helps local communities, wildlife and produces much less pollution than mass tourism. |
Utalii wa mandhari ya kimazingira husaidia wenyenji, wanyama na pia hupunguza uchafuzi wa mazingira kuliko utalii mwingi wa kila aina. |
But are the general public willing to tour in eco-tourist destinations? |
Lakini je,wananchi kwa jumla wako tayari kutalii sehemu zenye mandhari ya kimazingira? |