Business (or Strategic) management is the art, science, and craft of formulating, implementing and evaluating cross-functional decisions that will enable an organization to achieve its long-term objectives. |
Uongozi katika Biashara (au mpangilio) ni kipengele cha kisayansi inayojumisha ukusanyanji wa data, hesabu automatika ambayo inarahishisha kazi ya upekuzi ambayo usaidia viongozi wa biashara kuweza kuketi na kufuata masharti waliyokubaliana nayo. |
It is the process of specifying the organization's mission, vision and objectives, developing policies and plans, often in terms of projects and programs, which are designed to achieve these objectives, and then allocating resources to implement the policies and plans, projects and programs. |
Ni utendakazi ambalo linaambatana na mishoni ya kampuni ambayo huhakikisha kuwa kampuni litaweza kuyatimiza mipangilio yake vilivyo. Isitoshe kipengele cha maana kabisa ni ule ugawanaji wa kazi katika kampuni. |
Strategic management seeks to coordinate and integrate the activities of the various functional areas of a business in order to achieve long-term organizational objectives. |
Mipangilio ni muhimu kwa kukuwa inajumuisha talanta ya wafanyikazi aina mbali mbali katika kampuni na kuhakikisha kuwa kampuni limeweza kutimiza kazi yake vilivyo. |
A balanced scorecard is often used to evaluate the overall performance of the business and its progress towards objectives. |
Lazima kampuni iwe na mfumo ambao hukakikisha kuwa utendakazi na pesa za kampuni zinarudisha fedha katika kampuni ndo kampuni liweze kustahimili kazi. |
Strategic management is the highest level of managerial activity. |
Mpangilio ni ngome katika usimamizi wa biashara. |
Strategies are typically planned, crafted or guided by the Chief Executive Officer, approved or authorized by the Board of directors, and then implemented under the supervision of the organization's top management team or senior executives. |
Mipangilio lazima iwe na mikakati, ambayo Mkurugenzi Mkuu katika kampuni ameidhinisha kwa bodi ya viongozi wa kampuni, kisha mipangilio hiyo itaanza kuimarishwa na usimamiza wa viongozi wakuu wa usimamizi wa biashara. |
Strategic management provides overall direction to the enterprise and is closely related to the field of Organization Studies. |
Usawa wa mipangilio kwa ujumla hukakikisha kuwa kampuni inajiundia nafasi kibiashara kwa kutobanduka katika kuuza sera zao unaoambatana na lengo la kampuni. |
In the field of business administration it is useful to talk about "strategic alignment" between the organization and its environment or "strategic consistency". |
Katika nyanja ya usimamizi wa biashara ni vyema kuongelea '' mpangilio mufti '' unaoambatana na mahitaji ya jamii na ya kampuni kwa jumla. |
According to Arieu (2007), "there is strategic consistency when the actions of an organization are consistent with the expectations of management, and these in turn are with the market and the context." |
Kulingana na Arieu(2007), '' huwa kuna usawa wa mipangilio katika kampuni ambapo uongozi wa kampuni utilia maanani mikondo mipya ya kuyatekeleza biashara zake inayoambatana na dunia ambayo teknolojia ni uti wa mgongo'' |